Wimbo wa Harmonize ‘MAGUFULI’ watikisa bungeni (+Video)

Mbunge wa Viti maalum, Amina Mollel (CCM) atumia wimbo ‘ Magufuli’ wa Harmonize kumpongeza kwa kuteua Balozi na Naibu Waziri mwenye ulemavu katika awamu yake na pia kufanya mambo makubwa kama kununua ndege na miradi mingine ya maendeleo.

Mbunge huyo ametumia vionjo vya wimbo huo jioni hii Ijumaa Novemba 15, 2019 Bungeni Jijini Dodoma, Na baadhi ya wabunge walisikika wakimuitikia.

The post Wimbo wa Harmonize ‘MAGUFULI’ watikisa bungeni (+Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *