WCB wahaha kutumia waganga kukata mvua isinyeshe Wasafi Festival Dar(Video)

Meneja huyo wa Diamond ameyasema hayo wiki hii wakati akizungumzia kilio chao kwa serikali juu ya ujenzi wa ukumbi mkubwa wa burudani Tanzania.

Hizo zilikuwa ni shamra shamra za maandalizi ya tamasha za Wasafi Festivals ambalo linatarajia kufanyika Jumamosi hii katika viwanja vya Posta Kijitonyama.

The post WCB wahaha kutumia waganga kukata mvua isinyeshe Wasafi Festival Dar(Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *