Wakili wa Wema Sepetu afunguka ‘Mteja wangu aliumwa tumbo la ghafla akiwa Kisutu’ (Audio)

Wakili wa Wema Sepetu, Ruben Simwanza afunguka sakata la mteja wake kukamatwa baada kushindwa kutokea Mahakamani “Wema alifika mahakamani lakini akaumwa tumbo la ghafla, kesho asubuhi tutaangalia namna gani tunaweza kumsaidia mteja wetu”

The post Wakili wa Wema Sepetu afunguka ‘Mteja wangu aliumwa tumbo la ghafla akiwa Kisutu’ (Audio) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *