Vilio na Majonzi: Mwili wa Mzee Majuto wapokewa na maelfu Tanga (Video)

Maelfu ya watu wajitokeza usiku huu hapa Tanga kuupokea mwili wa marehemu Mzee Majuto aliyefariki siku ya jana katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mwili huo umewasili majira ya saa 6 usiku na kupokewa na maelfu ya watu waliojiandaa kumpokea mkongwe huyo wa filamu.

The post Vilio na Majonzi: Mwili wa Mzee Majuto wapokewa na maelfu Tanga (Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *