Video: Maandalizi ya kuuhifadhi mwili wa Pancho yanaendelea Msingisi Gairo

Uchimbaji wa kaburi ukiendelea kwaajili ya kuuhifadhi mwili wa marehemu Pancho Latino kijijini kwao Msingisi Gairo. Mtajarishaji huyo wa muziki alifariki juzi jioni kwa ajali ya maji akiwa katika kisiwa cha Mbudya jijini Dar es salaam.

Ratiba kamili ya mazishi.

The post Video: Maandalizi ya kuuhifadhi mwili wa Pancho yanaendelea Msingisi Gairo appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *