Video: 154MusicWorldwide Cypher 2019 (Official Music

Studio ya 154musicworldwide iliyopo mkoani Songwe imeachia “154musicworldwide cypher2019” ikiwashirikisha wasanii wa hiphop chipukizi kutoka mkoani mbeya yaani,  Nala Mzalendo, T Breaker, Xray Vina, Shaulin Senator, Jesse Mtanzania,Francazy, na Krhyme the Rapper chini ya chini ya mtayarishaji (producer) General Catcher.

The post Video: 154MusicWorldwide Cypher 2019 (Official Music appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *