Utapenda Mr Blue alivyombariki Meja Kunta kwenye remix ya wimbo Mamu (Video)

Meja Kunta kwa sasa sio jina geni tena kwenye muziki, hasa hasa muziki wa singeli ambao unaonekana kutamba zaidi uswahilini. Muimbaji ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Mamu’kwenye mitandao na vyombo mbalimbali vya habari ameonekana kukubalika zaidi ya wimbo wake huo ambao kila kona ukipita utasikia unapigwa.

Meja wiki hii ameachia remix ya wimbo wake ‘Mamu’ huku akiwa amemshirikisha rapa mkongwe kwenye muziki wa BongoFleva, Mr Blue.

Blue ambaye amewahi kufanya vizuri na nyimbo nyingi ikiwemo Mboga Saba, amepita na style yake ya kuchana ambayo imeonekatana kuwasisimua wengi.

The post Utapenda Mr Blue alivyombariki Meja Kunta kwenye remix ya wimbo Mamu (Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *