‘Tanzania itakuwa nchi ya mfano wa kuigwa duniani’ – Rais Magufuli (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa utekelezwaji wa miradi mikubwa ikiwemo ule wa umeme wa Stiglers Gorge, Utaifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano wa kuigwa duniani kwa upande wa maendeleo.

Rais Magufuli ameyasema hayo leo Julai 11, 2019 wakati akihutubia wananchi wa Karagwe na kudai kuwa Tanzania imechelewa kuendelea kutokana na rushwa.

The post ‘Tanzania itakuwa nchi ya mfano wa kuigwa duniani’ – Rais Magufuli (+video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *