Spika Ndugai amuonya vikali CAG, ‘tumeshasema hatumtaki akiendelea tutamuita, ajiongeze kujiuzulu’ (+video)

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameonyesha wazi kukerwa kwa namna ambavyo Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali Profesa Musa Assad ambavyo hakujutia kauli yake inayodaiwa kuwa ya dharau dhidi ya Bunge la Tanzania.

The post Spika Ndugai amuonya vikali CAG, ‘tumeshasema hatumtaki akiendelea tutamuita, ajiongeze kujiuzulu’ (+video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *