Soudy Brown na Kwissa wa Shilawadu wana BIFU ?: Miss Shilawadu yawaweka kitimoto! (Video)

Mtangazaji wa kipindi cha Shilawadu, Kwissa amefunguka kuzungumzia tetesi ambazo zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amegombana na mtangazaji mwenzake wa kipindi hicho, Soudy Brown baada ya wawili hao kwa siku za hivi karibuni kuonekana kila mmoja anafanya kazi binafsi tofauti na awali.

Hayo ameyejiri machana wa leo katika ofisi za Kwissa, wakati akizindua mashindano ya Miss Shilawadu bila mtangazaji mwenzake, Soudy Brown.

The post Soudy Brown na Kwissa wa Shilawadu wana BIFU ?: Miss Shilawadu yawaweka kitimoto! (Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *