Shilole azua gumzo wakati droo ya tatu ya Shinda na Sim Account kutoka CRDB ikichezeshwa (Video)

Kingereza cha Shilole chazua gumzo wakati CRDB wakiwatangaza washindi wa droo ya tatu ya Shinda na Sim Account . Katika ndoo ya leo mshindi wa milioni 2 ni Mbwana Cathbeth Lusingo na mshindi mwingine wa milioni moja ni mwanadada Adela Mohamed. Ili na wewe ushinde unatakiwa kupiga *150*62#.

The post Shilole azua gumzo wakati droo ya tatu ya Shinda na Sim Account kutoka CRDB ikichezeshwa (Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *