Rich Mavoko hakamatiki, aachia ngoma nyingine mpya ‘WEZELE’ ya kufungia mwaka (+video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ameachia tena ngoma mpya inayokwenda kwa jina la WEZELE, hii ikiwa ni miezi miwili tu imepita tangu aachie wimbo wake wa Naogopa ambao nao bado unafanya vizuri kwenye vituo vya Radio na Tv hapa Tanzania.

Rich Mavoko tangu atemane na Lebo ya muziki ya WCB miezi minne iliyopita, mpaka sasa ameachia nyimbo 5 ambazo ni Ndegele, Naogopa, Navumilia, Hongera na Wezele.

The post Rich Mavoko hakamatiki, aachia ngoma nyingine mpya ‘WEZELE’ ya kufungia mwaka (+video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *