RC Makonda afunguka kuhusu ahadi yake ya Mil 10 kwa vijana wa Taifa Stars ‘Huko mambo yao yako vizuri'(+video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema kuwa ahadi aliyoitoa kuhusu kuwapatia shilingi milioni 10 kwa wachezaji wa Taifa Stars ameitimiza huku akiongeza kuwa kwa baadhi ya wachezaji wote wakongwe na wengine akiwemo Shomari Kapombe watafanyiwa kazi kwakuwa wote wanathaminika.

The post RC Makonda afunguka kuhusu ahadi yake ya Mil 10 kwa vijana wa Taifa Stars ‘Huko mambo yao yako vizuri'(+video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *