Rayvanny afunguka kuhusu tuhuma za kuiba wimbo wa Naogopa “Huyo msanii ntamfunga” – Video

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka leboya WCB Rayvanny amefunguka kuhusu tuhuma za kuiba wimbo wake mpya wa ‘NAOGOPA’

Akiongea na Bongo5 Rayvanny ameiomba serikali kuingilia kati lakini pia akisema endapo huyu msanii ataendelea kulalamika basi yeye ataenda kwenye vyombo vya dola maana ushahidi wote kuwa huo wimbo ni wa kwake anao:-

By Ally Juma.

The post Rayvanny afunguka kuhusu tuhuma za kuiba wimbo wa Naogopa “Huyo msanii ntamfunga” – Video appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *