Rais Magufuli amtumbua balozi wa Canada na kumvua hadhi ya ubalozi

Rais wa Tanzania,  Mhe Dk. John Magufuli ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada, Alphayo Kidata pia ameondolewa hadhi ya Ubalozi.

Soma zaidi taarifa iliyotolewa Jana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki.

 

The post Rais Magufuli amtumbua balozi wa Canada na kumvua hadhi ya ubalozi appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *