Professor Jay na mrembo Victoria Kimani ‘ngoma inogile’, wenyewe wasema yajayo yanafurahisha

Kama wewe ni shabiki wa Rapa Professor Jay kaa mkao wa kula kwani  kuna bonge la kolabo na time hii amevuka boda hadi Kenya na kumvuta mrembo Victoria Kimani.

Victoria Kimani na Professor Jay

Professor Jay  kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameweka picha inayomuonesha kama wapo location na kuiandikia maneno yaliyosomeka “Yajayo YANAFURAHISHA, WATCH yatapita video kwenye BIO, Tukifikisha Malengo yetu TUNAFUMUAAA Tena“.

Hii itakuwa ni kolabo ya kwanza kwa Professor Jay ndani ya mwaka huu ambayo amefanya na msanii kutoka nje ya Tanzania.

 

The post Professor Jay na mrembo Victoria Kimani ‘ngoma inogile’, wenyewe wasema yajayo yanafurahisha appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *