Picha: Jukwaa la kuwezesha Wanawake lawashukuru wadau muhimu kwenye harakati zao

Jukwaa la Kuwezesha Wanawake Kiuchumi Mkoa wa Dar Es Salaam (JUWADA), kwa kushirikiana na mwanamitindo maarufu Bi.Khadija Mwanamboka kwa pamoja wametoa shukrani za dhati kwa wale wote walioshirikiana nao kwa hali na mali kuhakikisha tunafanikisha tafrija yya “Tanzanite Women Forum & Lunch 2019”.

The post Picha: Jukwaa la kuwezesha Wanawake lawashukuru wadau muhimu kwenye harakati zao appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *