Nikikua nataka kuwa kama Rais Magufuli – RC Makonda (+video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini wamuombee ili akikua awe kama Rais Magufuli katika utendaji kazi na hekima zake.

RC Makonda ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Januari 11, 2019 katika hafla ya kupokea ndege ya pili  aina ya Airbus A 220-300 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

The post Nikikua nataka kuwa kama Rais Magufuli – RC Makonda (+video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *