Navy Kenzo watoboa siri ya maisha ya Pancho kabla ya kukumbwa na umautia (+Video)

Kundi la muziki la Navy Kenzo wamefunguka mwanzo mwisho wakati wakiongea na waandishi wa habari juu ya maisha ya marehemu Pancho.

Moja ya mwanachama wa kundi hilo Producer Nahreel amesema kuwa ” Pancho alishawahi kunambia mbele ya wasanii wengi kabisa kuwa sisi Maproducer hatupati tunachostahili tunafanya kazi kubwa sana ila tunachopata ni kidogo mno”

By Ally Juma.

The post Navy Kenzo watoboa siri ya maisha ya Pancho kabla ya kukumbwa na umautia (+Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *