Mwalimu wa kisasa aliyewaimbisha wanafunzi ‘Don’t Don’t, Don’t Touch’ afunguka (Audio)

Wiki hii kuna video moja ambayo ilisambaa mtandaoni ikimuonyesha mwalimu, ambaye pia ni Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Iringa akiwaimbisha wanafunzi ‘DON’T DON’T, DON’T TOUCH’ kitu ambacho kimewavutia watu wengi kutokana na ubunifu alioutumia.

The post Mwalimu wa kisasa aliyewaimbisha wanafunzi ‘Don’t Don’t, Don’t Touch’ afunguka (Audio) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *