MUSIC VIDEO: Belle Young – Mjuzi

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Belle Young ameachia video ya nyimbo yake nyingine baada ya ngoma yake na “Asalale” kufanya vizuri. nyimbo hii inaitwa “Mjuzi” akiwa ameifanyia kwa director Crank 3D & Robby Kalumax.

By Ally Juma.

The post MUSIC VIDEO: Belle Young – Mjuzi appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *