Msanii Hard Lee ameachia video ya nyimbo yake mpya baada ya ngoma yake na Beka Fleva kufanya vizuri

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Hard lee ameachia nyimbo nyingine baada ya ngoma yake na Beka Fleva kufanya vizuri. nyimbo hii inaitwa “Nitulie”

akiwa ameifanyia kwa Maximaiza ndani ya studio ya Fleva rekodi huku video ikiwa imefanywa na Hanscana.

By Ally Juma.

The post Msanii Hard Lee ameachia video ya nyimbo yake mpya baada ya ngoma yake na Beka Fleva kufanya vizuri appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *