Mbosso afunguka kifo cha mzazi mwenzake Boss Martha “tulikuwa tunatafuta nyumba” (Video)

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB Mbosso amefunguka kuzungumza kifo za mzazi mwenzake Mchekeshaji Boss Martha ambaye amefariki mapema leo baada ya kuugua ghafla.

Muimbaji huyo amedai ni kweli alizaa na mrembo huyo mtoto mmoja wa kiume lakini walikubaliana wasilizungumze hilo.

The post Mbosso afunguka kifo cha mzazi mwenzake Boss Martha “tulikuwa tunatafuta nyumba” (Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *