Maneno aliyoyatumia Nedy Music yaupamba wimbo wake mpya wa ‘Zungusha’ (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kwenye visiwa vyenye marashi ya karafuu Zanzibar, Nedy Music alimaarufu Mpemba mmoja, ambaye majuzi alifanikiwa kushinda tuzo ya Msanii kipenzi cha mashabiki, ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Zungusha’. Nedy aliachia video ya ngoma hiyo ambayo imefanywa na Producer Aloneym, huku  video ikifanywa na Director Hascana.

by Ally Juma.

The post Maneno aliyoyatumia Nedy Music yaupamba wimbo wake mpya wa ‘Zungusha’ (+Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *