Mahaba ya Wanafunzi kwa Miriam Odemba baada ya msaada ya kisima cha Maji Mkuranga (Video)

Hizo ni shangwe za wanafunzi wa shule ya Msingi Kiwambo wilayani ya Mkuranga mkoa wa Pwani baada ya kukuona mwanamitindo Miriam Odemba ambaye amejenga kisima cha maji shuleni.

Nayo taasisi ya African Reflections Foundation chini ya mlezi wake, Mama Mary Vonne ambaye ni balozi wa Shelisheli nchini Tanzania, ambapo Alhamisi hii amekabidhi visima viwili vya maji kwa shule mbili za msingi zilizopo wilayani Mkuranga.

The post Mahaba ya Wanafunzi kwa Miriam Odemba baada ya msaada ya kisima cha Maji Mkuranga (Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *