Maafisa 8 wa polisi wanahofiwa kufariki, baada ya gari la polisi lililokuwa likipiga doria mjini Wajir mpakani mwa Kenya na Somalia kukanyaga bomu fahamu zaidi, Picha haihusiani na tukio

Maafisa wanane wa polisi wanahofiwa kufariki baada ya gari la polisi lililokuwa likipiga doria mjini Wajir Kaskazni mwa Kenya kukanyaga bomu.

Note: Picha haihusiani na tukio.

Kwa mujibu wa BBC.Inspekata jenerali a polisi Hillary Mutyambai ametoa taarifa iliosema kuwa gari hilo llikuwa imewabeba maafisa 11 na ilikuwa ikipiga doria katika mpaka wa Kenya na Somalia.

Tayari vikosi vya usalama ikiwemo wale wa anagni wamepelekwa katika eneo hilo kufuatia kisa hicho.

By Ally Juma.

The post Maafisa 8 wa polisi wanahofiwa kufariki, baada ya gari la polisi lililokuwa likipiga doria mjini Wajir mpakani mwa Kenya na Somalia kukanyaga bomu fahamu zaidi, Picha haihusiani na tukio appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *