Kubwa Kuliko ya Yanga: Rais mstaafu Dkt.Kikwete afunguka haya, Mwigulu awazawadia Yanga mchezaji tena, wachezaji wapya watambulishwa (+ Video)

Katika tukio la klabu ya Yanga la uchangiaji ambalo linafanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee wamehudhuria viongozi, wanachama na wadau mbalimbali wa soka hapa nchini, tukio ambalo linahusisha uchangiaji kwa kalbu hiyo inayotoka mitaa ya Jangwani.

Katika tukio hilo ambalomgeni rasmi ni Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kasimu Majaliwa, mpaka sasa wamongea viongozi mbalimbali lakini pia Yanga wameweza kuwatambulisha wachezaji  wao wapya.

By Ally Juma.

The post Kubwa Kuliko ya Yanga: Rais mstaafu Dkt.Kikwete afunguka haya, Mwigulu awazawadia Yanga mchezaji tena, wachezaji wapya watambulishwa (+ Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *