Klabu ya Sevilla yaipongeza Simba kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara “Pongezi mabingwa”

Kikosi cha klabu ya Sevilla FC kimewasili nchini hapo jana usiku na kupokelewa kwa shangwe kubwa katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere kupitia kikundi cha ngomo kilichopo chini ya msanii Mrisho Mpoto.

Baada ya mapokezi hayo klabu ya Simba ambayo watacheza nao walikuwa mkoani Singida wakicheza na klabu ya Singida United na kufanikiwa kupata ushindi uliowapelekea kutangaza ubingwa na baada ya kutwaa ubingwa huo klabu ya Sevilla kupitia ukurasa wao wa Twitter wameipongeza na kuandika:-

By Ally Juma.

The post Klabu ya Sevilla yaipongeza Simba kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara “Pongezi mabingwa” appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *