Kanye West na Kim Kardashian wakutana na Rais Museveni, wampatia zawadi ya kipekee (+picha)

Ikiwa wana siku ya tatu tangu wafike nchini Uganda wiki iliyopita rapa Kanye West na mkewe Kim Kardashian leo mchana wamekutana na Rais wa taifa hilo, Yoweri Museveni katika Ikulu mjini Kampala.

Wakiwa Ikulu Kanye West na Mkewe wamemzawadia pea ya viatu vya Yeezy na kisha kusalimia na binti wa Rais Museveni.

Kanye West yupo nchini Uganda kurekodi baadhi ya nyimbo za album yake mpya ijayo ya YANDHI.

Kim na Kanye wakiwa na binti wa Rais Museveni
Kanye West akimkabidhi zawadi ya pea ya viatu Rais Museveni

The post Kanye West na Kim Kardashian wakutana na Rais Museveni, wampatia zawadi ya kipekee (+picha) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *