Haya ndio maamuzi aliyochukua Babu Tale kwa mtu aliyemzushia kifo mtandaoni ‘Angesababisha kifo kwa kaka yangu’ (+Audio)

Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amechukua maamuzi ya kumsamehe mtu aliyemzushia kifo kwenye mitandao ya kijamii kipindi amelazwa hospitalini.

Babu Tale akiongea na Bongo5, amesema kuwa mtu huyo alikamatwa na Polisi lakini kwa huruma yake ameamua kumsamehe.

The post Haya ndio maamuzi aliyochukua Babu Tale kwa mtu aliyemzushia kifo mtandaoni ‘Angesababisha kifo kwa kaka yangu’ (+Audio) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *