Harmonize aachia video ya wimbo wa ‘NITEKE’ baada ya kutikisa na Kainama, amtumia mchumba wake Sara kwenye video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka WCB, Harmonize ameachia video nyingine ya wimbo wake wa NITEKE kutoka kwenye EP yake ya Afro Bongo.

Kwenye video hiyo, amemtumia mchumba wake Sara kama video Queen na asilimia kubwa ya video hii imechukuliwa Zanzibar na aliyeiongoza ni Director kenny kutoka Zoom Production. Enjoy

The post Harmonize aachia video ya wimbo wa ‘NITEKE’ baada ya kutikisa na Kainama, amtumia mchumba wake Sara kwenye video appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *