Hamisa Mobetto amtambulisha mpenzi wake mpya baada ya kuachana na Diamond Platnumz

Mwanadada na mwanamitindo kutoka Tanzania Hamissa Mobetto amemtambulisha mpenzi wake mpya baada ya kuachana na baba mzazi mwenzie ambaye pia ni msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Hamisa ameweza kupost picha akiwa na mwanaume huyo ambaye jina lake halijajulikana mpaka sasa hivi, ila ikumbukwe kuwa Hamisa kwa sasa yuko nchini Marekani katika tua yake akiwa na msanii Christian Bella.

Hamissa ameandika ” Roho mkalia moyo”

By Ally Juma

The post Hamisa Mobetto amtambulisha mpenzi wake mpya baada ya kuachana na Diamond Platnumz appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *