Hafsa Kazinja afunguka kuugua miaka sita, kunywa damu na kubadili dini ‘nimeuza magari na nyumba zangu zote’ (+video)

Aliyewahi kuwa msanii wa Bongo Fleva, Hafsa Kazinja (Christine) ambaye kwa sasa anaimba muziki wa Injili amefunguka ishu ya kuugua kwa miaka 6.

Kazinja kupitia Bongo5, amesema mapepo ndio yalikuwa yanamsumbua mpaka akaamua kubadilisha dini kutoka kwenye Uislamu na kuwa Mkristo kisha kuokoka kabisa.

The post Hafsa Kazinja afunguka kuugua miaka sita, kunywa damu na kubadili dini ‘nimeuza magari na nyumba zangu zote’ (+video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *