Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o tayari amewasili Tanzania ambapo kesho atazindua wa kiwanja kilichojengwa na Castle Africa 5 .
The post Eto’o aeleza kilichomleta Tanzania, akumbuka alivyomfunga Ivo Mapunda miaka 10 iliyopita (Video) appeared first on Bongo5.com.