Dully Sykes adai muziki wake unasimamiwa na WCB kwa 50% “Wanaonisema mbona wameshindwa kunisaidia” (Video)

Dully Sykes afunguka mazito baada ya kuachia wimbo ‘Nikomeshe’ akiwa na Harmonize “Muziki wangu kwa asilimia 50 unasimamiwa na WCB, Wanaonipiga vita ni vijana wangu, wengine kisa kuwa karibu na WCB lakini acha waninunie tu kwa sababu msaada ninaoupata WCB ni mkubwa”

The post Dully Sykes adai muziki wake unasimamiwa na WCB kwa 50% “Wanaonisema mbona wameshindwa kunisaidia” (Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *