Dudubaya afunguka usiyoyajua kuhusu maisha yake, aonyesha mjengo anaoishi asema ” Wasanii wengi wanaishi kwenye chumba kimoja, Diamond alitaka kunipa gari” (+ Video)

Msanii na mlongwe wa muziki wa Bongo Fleva Godfrey Tumaini alimaarufu Dudu baya amefunguka mengi sana na kuionyesha nyumba anayoishi kwa sasa.

kupitia mahojiano aliyofanya na Bongo5 Dudu baya pia ameeleza kuhusu kumpiga Gigy Money baada ya kumtongoza:-

By Ally Juma.

The post Dudubaya afunguka usiyoyajua kuhusu maisha yake, aonyesha mjengo anaoishi asema ” Wasanii wengi wanaishi kwenye chumba kimoja, Diamond alitaka kunipa gari” (+ Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *