Diamond Platnumz aeleza alivyonusurika gonjwa la Ukimwi ‘Niliparamia sana wanawake, Tanasha ameniweza’

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amewashauri vijana kutulia na wapenzi wao ili kujiepusha na maradhi ya UKIMWI kwani vijana ndio nguvu kazi ya Taifa.

Akiongea na Wasandishi wa habari jana mkoani Tabora, Diamond amesema kuwa enzi za nyuma alikuwa na wanawake wengi lakini kwa sasa ameamua kuishi na Tanasha tu.

Diamond alikuwa mkoani Tabora kwenye tamasha la Wasafi Festival 2019 ambalo linadhaminiwa na tume ya kudhibiti Ukimwi nchini, TACAIDS.

The post Diamond Platnumz aeleza alivyonusurika gonjwa la Ukimwi ‘Niliparamia sana wanawake, Tanasha ameniweza’ appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *