Diamond Platnumz aachia wimbo mpya #TheOne, Video yafanyika mikoa mitatu Tanzania (+video)

Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake mpya wa The One, ambapo asilimia 100 kichupa hicho kimefanyika mikoa mitatu ya Morogoro, Pwani na Tanga.

Mdundo wa ngoma hii umegongwa na Laizer na kichupa kimeongozwa na Director Kenny.

The post Diamond Platnumz aachia wimbo mpya #TheOne, Video yafanyika mikoa mitatu Tanzania (+video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *