Cyril Kamikaze akata ukimya, aachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la “Private” (+ Audio)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa mtindo wa kufoka rap Cyril Kamikaze  ameachia audio ya wimbo wake mpya unaoitwa “Private” wimbo huo umefanywa na producer  CYRILL KAMIKAZE ambaye ndio mwenye wimbo lakini akiufanyia katika studio ya  Tongwe records.

By Ally Juma.

The post Cyril Kamikaze akata ukimya, aachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la “Private” (+ Audio) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *