Manchester United wamewekeza nguvu zao kuwasajili wachezaji wanne mwishoni mwa msimu ambao ni: Kalidou Koulibaly, 27, kutoka Napoli, Lucas Hernandez, 22, wa Atletico Madrid, Nikola Milenkovic, 21,...
Category Archives: Tanzania
Video: Familia ya Godzilla yafunguka ratiba ya mazishi na mengine meng...
Baba ndogo wa mwanamuziki wa Hip Hop, Godzillah aliyefariki dunia leo Jumatano Februari 13, 2019 amesema ndugu yake aliteswa na kitu kilichokwama tumboni kwa zaidi ya siku tatu na kumfanya a...
Upelelezi wa kesi ya Wema ya kusambaza picha za ngono wakamilika
Mrembo wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu anatarajiwa kuanza kusomewa maelezo ya awali kufuatia kukamilika kwa ushahidi upande wa Jamhuri juu ya kesi ya kusambaza picha za ngono inayomkabili. Wem...
Upelelezi wa kesi ya Wema ya kusambaza picha za ngono wakamilika
Mrembo wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu anatarajiwa kuanza kusomewa maelezo ya awali kufuatia kukamilika kwa ushahidi upande wa Jamhuri juu ya kesi ya kusambaza picha za ngono inayomkabili. Wem...
Zinedine Zidane anukia kutua Chelsea, vikao vizito vyaendelea, kipigo ...
Imeripotiwa kuwa miamba ya soka ya Uingereza klabu ya Chelsea ipo mbioni kutafuta saini ya aliyekuwa kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane ili kuchukua mikoba ya Maurizio Sarri. Mfaransa huyo mwen...
Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai athibitisha, Mwigulu Nchemba kupata ...
Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amethibitisha kuwa Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba amepata ajali eneo la Mtera, akitokea Iringa kwenda Dodoma. Kwa mujibu wa Azam tv, Katibu huyo wa B...
Ole Gunnar Solskjaer akiri Manchester United bado inakazi ya kufanya b...
Meneja wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amesema kuwa timu yake bado inakazi ya kufanya akitumia neno ‘inamlima wa kuupanda’ kufuatia kipigo cha mabao 2 – 0 dhidi ya Par...
Uso kwa uso na Chui akivuta bangi mafichoni, apiga simu polisi kuomba ...
Jamaa mmoja ambaye aliingia kwenye nyumba iliyotelekezwa nchini Marekani ili avaute bangi alipatwa na mshtuko asioutarajia. Alikutana na Chui mkubwa aina ya Tiger ambaye alikuwa ametelekezwa. Kwa ...
Tetesi za soka barani Ulaya Jumatano hii, Perisic, Sarri, Hazard, Buff...
Real Madrid wanaamini wakati mgumu anaopitia kocha wa Chelsea Maurizio Sarri utawarahisishia kumsajili kiungo Mbelgiji Eden Hazard, 28, mwishoni mwa msimu. (Mirror) Chelsea wanata kocha wa zamani ...
Simu ya kwanza duniani yenye kamera tano kuzinduliwa mwezi huu, hili n...
Kampuni ya Nokia ipo mbioni kuzindua simu yake mpya ya Nokia 9 Pureview yenye kamera 5 za nyuma zenye ukubwa wa Megapixel 20 na flash. Nokia 9 Pureview Kwa mujibu wa mtandao wa GSMArena.com umeele...