Akaunti ya Vera Sidika yakombwa

Mwanadada Vera Sidiki amelazimika kufungua akaunti mpya ya mtandao wa kijamii ya Instagram baada ya akaunti yake ya mwanzo kudukuliwa. Akaunti ya awali ilikuwa na zaidi ya watu 690k wakimfuatilia ila...

Lissu kupekuliwa nyumbani kwake

Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema polisi wamemchukua mwanasheria mkuu wa chama hicho, Tundu Lissu na kwenda naye nyumbani kwake kwa ajili ya kumpekua. ...