New Video: Wakuja Band – Wakuja

Bendi ya muziki Wakuja Band inayoundwa na Baba Ubaya pamoja Victor Mkwanzania imeachia project yake ya pili ya wimbo ‘Wakuja’. Audio imeandaliwa na Bagasco Kunene na video imeandaliwa na ...

Aumia vibaya wakati akishangilia bao lake

Mchezaji wa timu ya taifa ya Ujerumani na klabu ya Hamburg, Nicolai Muller amejikuta akiingia katika majeraha  baada ya kusherekea bao lake alilofunga dhidi ya Augsburg siku ya Jumamosi. Muller ...