Joe Cole atangaza kustaafu soka

Joe Cole, aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Uingereza, ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 37. Cole, ambaye amewahi kuzitumikia timu mbalimbali zikiwemo West Ham, Chelsea,  Liv...