Calisah atoa lawama kwa serikali baada ya kushinda taji la Mister International Africa Nigeria (Audio)

Mwanamitindo wa kiume Tanzania, Callisah baada ya kuibuka na mshindi wa Mister Africa International 2018 katika mashindano yaliyofanyika nchini Nigeria, amefunguka kwa kutoa lawama kwa serikali kwa madai hakupata ushirikianao kutoka kwa mamlaka za serikali.

The post Calisah atoa lawama kwa serikali baada ya kushinda taji la Mister International Africa Nigeria (Audio) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *