Ben Pol aachia video ya wimbo wake mpya, afungukia mahusiano “Sikutaka tugombane, mapenzi yapo” (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini alimaarufu BongoFleva, Ben Pol ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la Wapo. Ben Pol siku za hivi karibuni ameoneka kuzama katika penzi zito la mwanadada bossladay wa Kenya, Anerlisa ambaye ni mpenzi wake na tayari ameshamvisha pete.

The post Ben Pol aachia video ya wimbo wake mpya, afungukia mahusiano “Sikutaka tugombane, mapenzi yapo” (+Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *