BASATA wafunguka ishu ya kupokea lalamiko la Mavoko kunyonywa na WCB (Video)

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limesema limepokea mkataba wa muimbaji Rich Mavoko na WCB ambao unadaiwa kuwa ni wa ovyo ovyo. Katibu Mtendaji Godfrey Mngereza amesema mkataba huo wataupeleka kwenye kamati iliyoundwa na Waziri Mwakyembe kwaajili ya kuuangalia ambapo pia wamesema watauita uongozi wa WCB.

The post BASATA wafunguka ishu ya kupokea lalamiko la Mavoko kunyonywa na WCB (Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *