Barakah The Prince awajibu mashabiki wanaodai kuwa ana kiburi ‘sisomagi komenti zao na wananikosea’ (+video)

Msanii wa muziki nchini Tanzania, Barakah The Prince amedai kuwa yeye sio mfuatiliaji mzuri wa comments za mashabiki wake kwenye mitandao ya kijamii na kuhusu madai ya kuwa ana kiburi ameeleza kuwa wanamkosea sana Mwenyezi Mungu kwani wanaamini vitu ambavyo hawaambiwa bila kuthibitisha.

The post Barakah The Prince awajibu mashabiki wanaodai kuwa ana kiburi ‘sisomagi komenti zao na wananikosea’ (+video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *