Baada ya kupewa hadharani Tsh Mil 1 na RC Makonda, kijana mzalendo atoa kauli hii ‘Nasikia Dar kuna panya road’ (+video)

Kijana mmoja aliyepewa jina la mzalendo halisi kutokana na namna alivyovaa kwenye mchezo wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars dhidi ya Uganda kufuzu tiketi ya michuano ya Afcon 2019, hii leo amepewa shilingi milioni moja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kutokana na kuonyesha uzalendo wake. Wakati akipokea fedha hizo kijana huyo amesema licha ya kusikia Dar es Salaam kuna panya road lakini yeye yupo vizuri katika kutumia silaha yake ya jadi.

The post Baada ya kupewa hadharani Tsh Mil 1 na RC Makonda, kijana mzalendo atoa kauli hii ‘Nasikia Dar kuna panya road’ (+video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *