Mexico: Maharamia washambulia meli

Jeshi la wana maji nchini Mexico limesema jana kuwa maharamia wameshambulia meli iliyokuwa na bendera ya Italia katika ghuba ya Kusini ya Mexico na kuwajeruhi wafanyikazi wawili wa meli hiyo katik...