Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu akamatwa na watu wasiojulikana

Aliyekua Mbunge wa Singida Kaskazini na Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu amekamatwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana akiwa katika kikao cha ndani cha Chadema kwenye kata ya Itaja, wilaya ya Singida vijijini mkoani Singida.

Lazaro Nyalandu

The post Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu akamatwa na watu wasiojulikana appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *